Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Wakuu wa Wilaya wa
Mkoa wa Lindi na Mtwara, Makatibu Tawala wa Mikoa hiyo, Wakurugenzi wa
Benki ya TADB na CPB, katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, mkoani
Lindi, kabla ya kikao na Wakulima wa zao la korosho wa Mikoa hiyo,
Januari 3, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akizungumza na Wakulima wa zao la korosho wa Mkoa wa Mtwara na Lindi,
katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Januari 3, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment