Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani
Kilimanjaro, Tom Apson (wa pili kushoto), akipata maelezo alipotembelea
kwa lengo la kukagua Mradi mkubwa wa kuchenjua madini ya Copper uliopo
wilayani humo siku ya mkesha wa Krismasi. Licha ya kwamba siku hiyo
ilikuwa ni sikukuu ya lakini DC Apson na timu yake aliamua kuchapa
kazi kutimiza kauli mbiu ya Wilaya ya KAZI ZAIDI.
DC Apson akiwa na maofisa wake pamoja na maofisa wa mradi huo.
DC Apson akielekea kukagua mradi huo
Akibadilishana mawazo na baadhi ya maofisa
No comments:
Post a Comment