**********************************
Mwenyekiti wa
Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka wachimbaji wa madini ya
ujenzi nchini kuhakikisha wanapata leseni za madini kama Sheria ya
Madini na Kanuni zake inavyofafanua.
Profesa Kikula
aliyasema hayo leo tarehe 02 Novemba, 2019 katika machimbo ya mchanga
katika maeneo ya Mgongo na Igingilanyi yaliyopo Wilayani Iringa Mkoani
Iringa ikiwa ni
sehemu ya ziara yake mkoani humo yenye lengo la kukagua
shughuli za uchimbaji wa madini ya ujenzi, kusikiliza na kutatua kero
mbalimbali zinazowakabili wachimbaji wa madini hayo.
Ninawasilisha
kwenu story, picha pamoja na captions ambazo zimeambatishwa pamoja na
email hii. Captions zinapatikana mwishoni mwa story iliyoambatishwa.
No comments:
Post a Comment