
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na wageni wake
Ujumbe wa Madaktari wa Chama Cha Wapatholojia Tanzania (APT) walipofika
Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 1/11/2019 wakiwa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Madaktari wa Chama Cha
Wapatholojia Tanzania (APT) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo,(
kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Chama Cha Wapatholijia Tanzania Dkt.
Charles Massambura akiwa na ujumbe wake. wakiwa Zanzibar kwa ziara ya
siku mbili hafla imefanyika leo 1/11/2019 Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
No comments:
Post a Comment