Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipozindua kongamano la Uwekezaji na Biashara Mtwara
kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Mtwara, Novemba 1, 2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Kongamano
la Uwekezaji na Biashara Mtwara, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozindua Kongamano hilo kwenye viwanja vya Chuo cha
Ualimu cha Mtwara, Novemba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment