Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa
amesimama pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Sarah
Cooke (kushoto) na Kaimu Balozi wa Ujerumani hapa Nchini (kulia) Mhe.
Joerg Herrera wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 105 tangu
kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 75 tangu kumalizika kwa
vita ya pili ya dunia. Maadhimisho hayo yamefanyika katika makaburi ya
Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama Dar ES Salaam.
Meja Jenerali Sherrif Sheikh
Othman (wa pili kutoka kulia) akiwa na baadhi ya Makamanda kutoka
Ujerumani na Uingereza wakiwa wamesimama kutoa heshima katika
maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 105 tangu kumalizika kwa vita ya
kwanza ya dunia na miaka 75 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia.
Maadhimisho hayo yamefanyika katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo
la Kijitonyama Dar ES Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa
ameongozana Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke
(kulia) na Kaimu Balozi wa Ujerumani hapa Nchini (kushoto) Mhe. Joerg
Herrera kuweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa mashujaa wa
vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya dunia. Maadhimisho hayo
yamefanyika katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama Dar
ES Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa
anasoma hotuba yake wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 105
tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 75 tangu
kumalizika kwa vita ya pili ya dunia. Maadhimisho hayo yamefanyika
katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama Dar ES Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb),
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke na Kaimu Balozi wa
Ujerumani hapa Nchini Mhe. Joerg Herrera wakiwaongoza baadhi ya
makamanda kutoka nchi za Tanzania,Ujerumani na Uingereza kuweka shada la
maua katika mnara wa askari ulioko Posta Jijini Dar es Salaam ikiwa ni
maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 105 tangu kumalizika kwa vita ya
kwanza ya dunia na miaka 75 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia.
Baadhi ya askari wakiwa
wameinamisha vichwa vyao chini kama ishara ya heshima wakati wa
maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 105 tangu kumalizika kwa vita ya
kwanza ya dunia na miaka 75 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia.
Maadhimisho hayo yamefanyika katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo
la Kijitonyama Dar ES Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb),
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke na Kaimu Balozi wa
Ujerumani hapa Nchini Mhe. Joerg Herrera wakipokea heshima wakati wa
maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 105 tangu kumalizika kwa vita ya
kwanza ya dunia na miaka 75 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia.
Maadhimisho hayo yamefanyika katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo
la Kijitonyama Dar ES Salaam.

Mmoja wa wapiganaji wa vita ya
pili ya dunia Mzee Malagila Shimba mwenye umri wa miaka 98 akipiga
saluti mara baada ya kuweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa
mashujaa wa vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya dunia. Maadhimisho
hayo yamefanyika katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la
Kijitonyama Dar ES Salaam.
No comments:
Post a Comment