Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya
Kanda ya Kusini inayojengwa katika eneo la Mitengo, Mtwara Oktoba 2,
2019. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Ummy Mwalimu wakizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa
(wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme (wa pili kulia) na
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (kulia) wakati Waziri Mkuu alipokagua
ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, eneo la Mitengo Mtwara, Oktoba
2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment