Mhandisi Steven Manda akiwatembeza
sehemu mbalimbali Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi na
Makamanda wa Mikoa na Vikosi walipotembelea mradi mkubwa wa kuzalisha
umeme katika Mto Rufiji mkoani Pwani baada ya kufanya ziara ya siku moja
katika mradi huo.
Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp
Mohamed H. Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Wakuu
waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Mikoa na Vikosi baada ya
kutembelea mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji mkoani
Pwani.
Wa kwanza kulia ni Kamishna wa
Polisi Zanzibar CP Mohamed H. Hassan, akiongoza Maofisa Wakuu waandamizi
wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Mikoa na Vikosi kutembelea mradi
mkubwa wa kuzalisha umeme katika mto rufiji.(PICHA NA JESHI LA POLISI)
No comments:
Post a Comment