Spika wa Baraza la Wawakilishi la
Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (kulia) akipokelewa na Katibu Msaidizi
wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika, Ndg. Said
Yakubu alipowasili leo katika hoteli ya Madinalt Al Bahr Mjini Zanzibar,
Tanzania ambapo alifika na kukagua maandalizi ya Mkutano wa 50 wa Chama
cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika unaotegemea kuanza
tarehe 30 Agosti mpaka tarehe 5 Septemba, 2019 katika hoteli hiyo. Kulia
ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Simai
Mohamed Said
Spika
wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid
akisajiliwa kwa ajili ya kupatiwa kitambulisho cha Mkutano wa Chama cha
Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika leo katika hoteli ya
Madinalt Al Bahr Mjini Zanzibar, Tanzania ambapo alifika na kukagua
maandalizi ya Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola
kanda ya Afrika unaotegemea kuanza tarehe 30 Agosti mpaka tarehe 5
Septemba, 2019 katika hoteli hiyo.
Spika
wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (katikati)
akiongozana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe.
Simai Mohamed Said (kulia) na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika, Ndg. Said Yakubu leo katika hoteli ya
Madinalt Al Bahr Mjini Zanzibar, Tanzania ambapo alifika na kukagua
maandalizi ya Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola
kanda ya Afrika unaotegemea kuanza tarehe 30 Agosti mpaka tarehe 5
Septemba, 2019 katika hoteli hiyo.
Spika
wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid akisalimiana na
Watumishi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika katika
hoteli ya Madinalt Al Bahr Mjini Zanzibar, Tanzania ambapo alifika na kukagua
maandalizi ya Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya
Afrika unaotegemea kuanza tarehe 30 Agosti mpaka tarehe 5 Septemba, 2019 katika
hoteli hiyo.
No comments:
Post a Comment