Pages

Thursday, August 1, 2019

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE VIWANJA VYA NYAKABINDI, SIMIYU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa hotuba ya ufunguzi wa maonesho ya Nanenane kwenye viwanja vya Nakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu Agosti 1, 2019. Maonesho hayo ya mwaka huu wa 2019 yamebeba kaulimbiu isemayo "Kilimo, Ufugaji na Uvuvi kwa ukuaji wa uchumi wa nchi." yatafikia kilele Agosti 8, 2019.

 Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, akitoa hotuba yake.
 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka, akitoa hotuba yake

1R6A9706
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua Banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yatakayofanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti 2019 Katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)

1R6A9684Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa na watumishi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yatakayofanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti 2019 Katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu. 
nfra
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipewa maelezo kuhusu matumizi ya mifuko ya kuhifadhia mahindi ya PIC'S wakati alipotembelea Banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yatakayofanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti 2019 Katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu. 

No comments:

Post a Comment