Pages

Friday, August 30, 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA MKUTANO WA TICAD 7



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipochangia mada kuhusu kuimarisha amani  na utulivu Barani Afrika katikati mkutano wa saba wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo katika Bara la Afrika (TICAD 7) uliohitimishwa leo kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifiko Yokohama nchini Japan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment