Msajili na
Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi. Vickness Mayao (kulia)
akitoa cheti kwa Bw. Simon Mashauri kutoka Taasisi ya Safe Hands Foundation
Tanzania baada ya kusajili Taasisi yake chini
ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya
mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na
Sheria Na. 3/2019 ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye
ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere
Chuo cha Mipango Dodoma kwa Kanda ya Kati.
Afisa Maendeleo
ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Victor Rugalabamu (kulia)
akifafanua jambo kwa wadau wakati akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya
mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na
Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye
ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere
Chuo cha Mipango Dodoma kwa Kanda ya Kati.
Mwanasheria
kutoka Ofisi ya Msajili wa NGOs Bi. Happy Msimbe (kulia) akitoa huduma ya
kusajili Taasisi chini ya Sheria
ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa
marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa
mmoja wa mdau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali
yalisajiliwa chini ya
Sheria nyingine katika
zoezi linaloendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere
Chuo cha Mipango Dodoma kwa Kanda ya Kati.
Afisa Maendeleo
ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.
Timoth Mgonja (wa pili kulia) akifafanua jambo wakati akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya
mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na
Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye
ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere Chuo cha Mipango jijini Dodoma kwa Kanda ya Kati.
Zoezi la kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya
mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na
Sheria Na. 3/2019 ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine likiendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu J.K.
Nyerere jijini Chuo cha Mipango Dodoma kwa Kanda ya Kati.
No comments:
Post a Comment