Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Katibu Mkuu wa ZATUC Ndg. Khamis Mwinyi, alipowasili
katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni kuhudhuria
Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
Wajumbe
wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein,
akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya
Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na
Viongozi wa Meza Kuu wakiimba wimbo wa Solidariti Foreva wakati wa ufunguzi wa
Mkutanio Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar
uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
No comments:
Post a Comment