RAIS MAGUFULI APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE, RAIS HAGE GEINGOB WA NAMIBIA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa
na Mwenyeji wake Rais Hage Geingob wa Namibia alipowasili katika Ikulu
ya nchi hiyo, Jijini Windhoek leo Mei 27, 2019. Rais Dkt. Magufuli
amewasili nchini Namibia kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku mbili.
No comments:
Post a Comment