Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa
Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya
Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya
ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za
Zambia na Malawi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Mbeya, Wabunge, Mawaziri, akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo
Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa wananchi wa mkoa
wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.
Mandhhari ya hospitali ya
UWATA iliyopo jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa
Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
waliofika katika uzinduzi wa Hospitali ya UWATA jijini Mbeya mara baada
ya kuizindua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Inyala
wakati akiwa njiani kuelekea Igurusi mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mswiswi
wakati akiwa njiani kuelekea Chimala.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Igurusi hawaonekani pichani mara baada ya kuwasili katika eneo hilo
akitokea jijini Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chimala
Wilayani Mbarali mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment