Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Barafu
Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwahutubia wanachi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Rujewa
Wilayani Mbarali mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili katika uwanja huo
wa mkatano wa Barafu.
Wananchi wa Mbarali
wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika uwanja wa Barafu.
Sehemu ya wananchi
waliokusanyika katika uwanja wa Barafu Mbarali kumsikiliza Rais wa
Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa
akiwahutubia.
Barabara ya TANZAM highway
sehemu ya Igawa-Mbeya eneo la Igawa ikiwa katika mandhari ya kupendeza
mara baada ya ukarabati mkubwa wa Barabara hiyo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment