Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa la
Zimbabwe kabla ya kuweka shada la maua katika eneo hilo lililopo
kilometa saba kutoka jiji la Harare nchini Zimbabwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiweka shada la maua mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi
ya Mashujaa wa Taifa la Zimbabwe katika eneo hilo lililopo kilometa saba
kutoka jiji la Harare nchini Zimbabwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akisali mara baada ya kuweka shada la maua katika eneo hilo la
makaburi ya mashujaa wa Zimbabwe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua gwaride la heshima kabla ya kuweka shada la maua katika eneo
hilo la makaburi ya mashujaa wa Zimbabwe.
Mnara wa Kumbukumbu katika eneo la Makaburi ya Mashujaa wa Zimbabwe kama linavyo onekana pichani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Ujumbe wa nchi ya Zimbambwe
kilichokuwa kikiongozwa na Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson
Mnangagwa katika Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe leo tarehe 29/05/2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi kuhusu
Kaburi la mmoja wa Mashujaa wa Zimbabwe Herbert Wiltshire Pfumaindi
Chitepo ambaye aliuwawa mwezi machi 1975. Marehemu Herbert Wiltshire
Pfumaindi Chitepo alikuwa Mkurugenzi wa Mashtaka DPP mweusi wakwanza
Tanganyika na Afrika. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment