Waziri
wa Nishati Dkt. Medard Kalemani na Naibu wake Mhe. Subira Mgalu,
wakipongezwa na wabunge baada ya bajeti ya wizara hiyo kupitishwa na
wabunge jijini Dodoma Mei 29, 2019. Wizara hiyo ililiomba bunge
kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara hiyo yanayofikia
kiasi cha shilingi Trilioni 2.124.
Dkt. Kalemani akisalimiana na
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO),
Dkt. Alexander Kyaruzi nje ya viwanja vya bunge baada ya bajeti ya
wizara hiyo kupitishwa na bunge.
Dkt. Kalemani akizungumza bungeni jijini Dodoma muda mfupi kabla ya wabunge hawajapitisha bajeti yake.
Katibu Mkuu wizara ya Nishati Dkt. Mwinyimvua (katikati), akibadilishana mawazo na wabunge na viongozi wengine
No comments:
Post a Comment