Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi Tuzo na Cheti Bw. Masha Mshomba
Mkurugenzi Mkuu wa WCF. Mfuko umekuwa Mshindi katika masuala ya afya na usalama
kazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Tuzo hiyo
imetolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani,
2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Siku ya Afya na Usalama Duniani Mkurugenzi wa Huduma
za Tiba na Tathmini Dkt. Abdulssalaam Omary jijini Mbeya.
Tuzo na Cheti katika masuala ya afya na usalama
kazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Tuzo hiyo
imetolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani,
2019.
kazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Tuzo hiyo
imetolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani,
2019.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama(wa kwanza kushoto) akipata maelezo
ya Mfuko kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini, Dkt.
Abdulssalaam Omary (wa pili kulia) alipo tembelea banda hilo. Wa tatu
kushoto ni Mwakilishi wa ILO Afrika Bw. Jealous G. Chirove na Naibu
waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Watu wenye Ulemavu) Mhe. Anthony Mavunde (katikati kulia)
Mkurugenzi
wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Masha Mshomba (katikati) akifurahia
pamoja na wafanyakazi wa Mfuko baada ya Mfuko kuwa Mshindi katika masuala ya
afya na usalama kazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Masha Mshomba (wa pili
kushoto) pamoja na wafanyakazi wengine wa WCF mara baada ya kupata Tuzo
na Cheti cha ushindi wa huduma bora za Bima.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wakifurahia baada ya kupata wakifurahia
pamoja na wafanyakazi wa Mfuko baada ya Mfuko kuwa Mshindi katika masuala ya
afya na usalama kazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
pamoja na wafanyakazi wa Mfuko baada ya Mfuko kuwa Mshindi katika masuala ya
afya na usalama kazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu Wenye Ulemavu), Stella Ikupa
(aliyeketi) akipata maelezo ya mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)
kutoka kwa Mkurugenzi wa huduma
za Tiba na Tathmini Dkt. Abdulssalaam Omary (wa pili kulia) walipo tembelea banda hilo
za Tiba na Tathmini Dkt. Abdulssalaam Omary (wa pili kulia) walipo tembelea banda hilo
Mkurugenzi wa Huduma
za Tiba na Tathmini Dkt. Abdulssalaam Omary akimpa maelekezo Dkt. Kiva Mvungi kutoka Geita Gold Mine kuhusiana na viwango vya ulemavu kwa mujibu wa Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi
za Tiba na Tathmini Dkt. Abdulssalaam Omary akimpa maelekezo Dkt. Kiva Mvungi kutoka Geita Gold Mine kuhusiana na viwango vya ulemavu kwa mujibu wa Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi
Afisa
Matekelezo Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bi. Amina
Likungwala akitoa zawadi kwa wadau mbali mbali waliotembelea banda la
WCF wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Duniani, 2019
yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya
Wadau
mbalimbali waliotembelea banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)
wakipata maelezo juu ya mafao na shughuli za Mfuko wakati wa maadhimisho
ya Siku ya Usalama na Afya Duniani, 2019 yaliyofanyika kitaifa jijini
Mbeya
Afisa
afya na usalama mahali pa kazi kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
Bw. Robert Duguza akitoa maelezo juu ya huduma na mafao yatolewayo na
WCF kwa mdau aliyetembelea banda la Mfuko huo
Watu mbalimbali wakiendelea kutembela katika Banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wakati wa maadhimisho ya siku ya usalama na afya Duniani ambapo kitaifa imefanyia mkoani Mbeya.
Afisa
Mwandamizi, Afya na Usalama Mahali pa Kazi kutoka Mfuko wa Fidia kwa
Wafanyakazi, Bi. Tumaini Kyando akitoa maelezo ya Mafao yanayotolewa na
WCF kwa wageni na wadau waliotembelea banda la Mfuko huo
Meneja
Tathmini, Vihatarishi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bi.
Naanjela Msangi akifafanua umuhimu wa kufanya tathimini ya vihatarishi
katika maeneo ya kazi kwa wadau waliotembelea banda la Mfuko wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Duniani, 2019 yaliyofanyika
kitaifa jijini Mbeya
Afisa
Mwandamizi wa Mahusiano kwa Umma kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
(WCF) Bw. Sebera Fulgence akimkabidhi Kava la Gurudumu mdau
aliyetembelea Banda la WCF
Afisa
Matekelezo Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bi. Amina
Likungwala akitoa zawadi kwa wadau mbali mbali waliotembelea banda la
WCF
Baadhi wa WCF wakiwa katika banda lao
Kikundi
cha ngoma kikitumbuiza mbele ya Banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Duniani, 2019
yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya
No comments:
Post a Comment