Mhe.
Balozi Luvanda (wa pili kushoto) kwa pamoja na mgeni rasmi Mhe. Shri
Sanjiv Arora ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa
India anayeshughulikia Masuala ya Kikonseli, Paspoti, Visa na Diaspora wa (kushoto) na wageni waalikwa wakionesha jarida kuhusu miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini India na kuzinduliwa rasmi katika hafla hiyo. |
Mhe. Balozi Luvanda akiwa
katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi mbalimbali walioudhuria hafla ya kuadhimisha miaka 55 ya Muungano. |
Mhe.
Balozi Luvanda (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa
Ubalozi wa Tanzania, New Delhi wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 55
ya Muungano.
|
No comments:
Post a Comment