Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Neema
Mwakasendo (kulia) akimkabidhi kadi ya ATM aina ya Visa kwa Mkazi wa
Kibaha Maili Moja, Deogratius Lyimo baada ya kufungua akaunti ya Fasta
wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha
Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.NBC inadhamini kampeni hiyo iliyoandaliwa
na Kituo cha Redio cha EFM kwa malengo ya kusogeza huduma za kibenki
karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata
kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Deogratius
Lyimo akionyesha kadi ya ATM aina ya Visa ya Benki ya NBC aliyopewa
mara baada ya kufungua akaunti ya Fasta ya benki hiyo wakati wa kampeni
ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani
Mkoa wa Pwani jana.
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Jyste Mahotola (kushoto) akimkabidhi kadi ya ATM aina ya Visa kwa mkazi
wa Kibaha Maili Moja, Asha Mussa baada ya kufungua akaunti ya Fasta
wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha
Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Asha Mussa akionyesha kadi ya ATM aina ya Visa ya Benki ya NBC aliyopewa mara baada ya kufungua akaunti ya Fasta ya benki hiyo wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Ally
Abdallah (kushoto ) akiweka alama ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta
ya Benki ya NBC, katika kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika
Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.Kulia ni Ofisa Mauzo wa NBC, Evansia Benson.
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Biashara
cha Benki ya NBC, Japhet Fungo (kushoto) akimkabidhi kadi ya ATM aina
ya Visa kwa Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Emmanuel Baraka baada ya
kufungua akaunti ya Fasta wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika
katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kibaha,
Steven Fransis (kulia), akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Pwani
waliojitokeza katika kampeni ya Shika Ndinga kwenye Uwanja wa Kibaha
Stendi ya zamani, mkoani humo jana.
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Godrey
Ntani (kulia ) akiweka alama ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya
Benki ya NBC, katika kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja
wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.Kulia ni Ofisa Mikopo wa NBC, Clara Jackson.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kibaha,
Steven Fransis (kulia), akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa
kampeni ya Shika Ndinga kwa upande wa wanawake, Josepha Maemba wakati wa
kampeni hiyo katika Uwanja wa Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa
wa Pwani jana.
Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto) akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa kampeni ya Shika Ndinga inayodhaminiwa na NBC kwa upande wa wanaume, Ally Rashidi wakati wa kampeni hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani, mkoani wa Pwani jana
No comments:
Post a Comment