Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi akipeana mikono na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Dkt. Leonard Chamriho baada ya kumkabidhi ndege serikali
aina ya Fokker 50 ili aikabidhi kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt.
John Pombe Magufuli kwenye hafla fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019. Kulia ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais Ikulu,Dkt. Moses Kusiluka na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi
ya Wakurugenzi ya
Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso.
Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso.
Ndege aina ya Fokker 50 iliyokabidhiwa na serikali kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019
kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Dkt. Leonard Chamriho baada ya kukagua ndege aina ya Fokker 50
iliyokabidhiwa na serikal kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa
ajili ya kubeba abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kwenye hafla fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019. Nyuma yao Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt.Moses Kusiluka
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi akipeana mikono na marubani wa ndege aina ya Fokker 50
iliyokabidhiwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba
abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt.John Pombe Magufuli
kwenye hafla fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere leo Aprili 1, 2019. Nyuma yake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leonard Chamriho,Katibu Mkuu Ofisi ya Rais
Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso
Wafanyakazi wa ATCL wakiwa katika
picha ya pamoja mbele ya Ndegeaina ya Fokker 50 iliyokabidhiwa na
serikali kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba
abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt.
John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019
John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019
No comments:
Post a Comment