Pages

Tuesday, April 30, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TUKUYU MKOANI MBEYA


1A 2A 4A
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe wakati akielekea Mbeya mjini.
DSC_9489A
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyela mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment