Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Spika wa Bunge la Misri, Dkt. Ali Abdel Aal kabla ya
mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili
3, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Spika wa Bunge la Misri, Dkt. Ali Abdel Aal, ofisini kwa
Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 3, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment