Wafanyakazi wa Fastjet PLC wameiomba Mamlaka ya Anga kuendelea
kuzishikilia ndege mbili mali ya Fastjet PLC ambazo moja ipo uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere na nyingine Nairobi hadi hapo
kampuni hiyo itakapolipa madeni yote inayodaiwa ikiwamo haki zao
wafanyakazi.
Wafanyakazi wa Fastjet PLC wameiomba Mamlaka ya Anga kuendelea kuzishikilia ndege mbili mali ya
No comments:
Post a Comment