Kwa ufupi
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vya
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ametangaza kurejea
Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa
Mwandishi Wetu, Mwananchi.Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vya Umoja wa
Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ametangaza kurejea Chama cha
Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa
No comments:
Post a Comment