Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Askofu wa Jimbo la Ifakara, Salutaris Libena wakiweka jiwe la msingi la
ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mwadhama Polycarp Kardinali
Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019. Wa pili kulia ni
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Fancis wa Asiz Ikwiriri, Padre Disma
Kimboi.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akiagana na Askofu wa Jimbo la Ifakra, Salutarisi Libena
baada ya kuweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari ya Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29,
2019. Katikati ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa ambaye
alipewa nafasi ya kusalimia wakati Waziri Mkuu alipoweka jiwe la msingi
la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri Mkoani Pwani Rufiji, Machi 29,
2019. Kushoto ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo na wa nne kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Pwani
na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule
ya Sekondari ya Wasichana ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo
Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019. Wengine kutoka kulia ni Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo,
Askofu wa Jimbo la Ifakara, Salutaris Libena na Paroko wa Parokia ya
Mtakatifu Francis wa Asiz Ikwiriri, Padre Dismas Kimboi
Wananchi wakimshangilia Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kuweka jiwe la
msingi la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi la Shule ya
Sekondari ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri Mkoani
Pwani, Machi 29, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na baadhi ya wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi la
Shule ya Sekondari ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri
mkoani Pwani, Machi 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment