Pages

Tuesday, January 1, 2019

RAIS WA ZANZIBAR MHE. DK SHEIN.ASHIRIKI MAZOEZI YA VIUNGO UWANJA WA GOMBANI KISIWANI PEMBA

IMG_3880
WANAMICHEZO kutoka Vikundi mbalimbali vya Mazoezi  kutoka Unguja, Pemba na Tanzania Bara, wakiwa katika viwanja vya gombani wakifanya mazoezi ya pamoja baada ya kumaliza matemezi yao yalioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, yalioazia katika Wawi Matreka na kumalizia katika uwanja huo.(Picha na Ikulu)
IMG_3882

IMG_4845
WASHIRIKI  wa mazoezi  ya Kitaifa kutoka Unguja na Pembe wakiwa katika matembezi hayo wakipita katika maeneo ya Wawi POemba wakielekea katika Uwanja wa Gombani Pemba.(Picha na Ikulu)
IMG_4853
WASHIRIKI  wa mazoezi  ya Kitaifa kutoka Unguja na Pembe wakiwa katika matembezi hayo wakipita katika maeneo ya Wawi POemba wakielekea katika Uwanja wa Gombani Pemba.(Picha na Ikulu)
IMG_4853_1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed  na kulia Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Mhe. Balozi Ali Karume, wakishiriki katika Mazoezi hayo wakiungana na Wanamichezo wa Mazoezi ya Viuongo Zanzibar, wakielekea katika Uwanja wa Gombani kwa ajili ya mazoezi hayo.(Picha na Ikulu)
IMG_4902
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika matembezi ya mazoezi ya viungo, Kisiwani Pemba kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Iddi na kulia Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa, Mhe. Balozi Ali Karume, wakiingia katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba kumalizia matembezi hayo, na kufanya mazoezi ya viungo kwa vikundi vilivyoshiriki.(Picha na Ikulu)
IMG_4913 IMG_4924 IMG_4926 IMG_4957
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiyapokea Matembezi ya Wanamichezo wa Mazoezi ya Viungo wakiingia katika Uwanja wa Mpira wa Gombani Kisiwani Pemba kumalizia matembezi hayo na kujumuika katika mazoezi.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment