BOTI
ya Kisasa ya Uokozi na Uzamiaji ya Kikosi cha KMKM Zanzibar
imezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Dk Ali Mohamed Shein,.leo katika bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba,
wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Vituo Vya Uokozi vya KMKM
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa katika Boti ya KMKM ya Uokozi baada ya kuizindua akiwa na
Mkuu wa KMKM Commodore Hassan Mussa Mzee, (Picha na Ikulu) NO
5665///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed
Suleiman wakiondoka katika eneo la Bandari ya Mkoa baada ya Uzinduzi wa
Boto ya KMKM ya Uokozi na Uzamiaji.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akizindua Boti ya Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji vya
Kikiso cha KMKM Zanzibar,uzinduzi huo umefanyika katika, bandari ya
Mkoani Pemba leo,2-1-2019.kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa na Vikosi Maalum. Mhe Haji Omar Kheri na kulia Mkuu wa KMKM
Commodere Hassan Mussa Mzee.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza CDR.Hussein Ali Makame, akitowa maelezo kwa Rais
wakati akitembelea Boti hiyo baada ya kuizindua leo katika Bandari ya
Mkoani Kisiwani Pemba ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Miaka 55 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akizindua Kituo cha Mradi wa Uokozi na Uzamiaji cha KMKM
Zanzibar, wakati wa shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza CDR. Hussein Ali Makame. akitowa maelezo ya kimoja
ya vifaa vya Uokozi baada yya kukifungua Kituo cha KMKM Cha Mradi wa
Uokozi na Uzamiaji katika Bandari ya Mkoani Pemba.
JENGO
Jipya la Kituo cha KMKM la Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji
lilioko katika Bandari ya Mkoani Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment