Pages

Saturday, December 1, 2018

Naibu Katibu Mkuu Mambo Ya Ndani Atembelea Eneo Linalotarajiwa kujengwa ofisi za wizara hiyo


PIX 2 (2)-min
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (wa pili kulia) akisikiliza
ufafanuzi kutoka kwa mmoja kati ya wasafishaji wa eneo linalotarajiwa kujengwa ofisi za Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi katika mji wa Serikali ulioko Ihumwa jijini Dodoma. Wa tatu kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali watu Wamoja Ayoub akifatiwa na Afisa tawala Andrew Kiangi wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
20181201_082511-min
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima akimuelekeza jambo
mmoja kati ya wasafishaji wa eneo linalotarajiwa kujengwa ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
katika mji wa Serikali ulioko Ihumwa jijini Dodoma kwaajili ya maandalizi ya ujenzi wa ofisi za wizara
hiyo. Naibu Katibu Mkuu huyo alitembelea eneo hilo mwishoni mwa wiki hii.

No comments:

Post a Comment