Skauti wa Chuo cha ualimu Ndala wakimwongoza Waziri wa Elimu ,
Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako kuelekea kwenye Ofisi za Utawala
wakati wa ziara yake jana katika Chuo hicho.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Msalika Makungu akitoa taarifa
ya Mkoa kwa Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia jana.
Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako
akitoa tamko la kumuondoa katika nafasi yake Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo ya
Ualimu na Mratibu wa Miradi wa Wizara hiyo jana baada ya kuonekana kushindwa
kutekeleza majukumu yao kwa ufasaha.
Mkuu wa Chuo cha Ualimu Ndala Abinego Ndikumwe akitoa taarifa ya
mradi wa ukarabati wa baadhi ya majengo na upanuzi wa Chuo kwa Waziri wa Elimu
, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako jana
Eneo la ujenzi wa mabweni, kumbi za mihadhara na majengo mengine
kwa ajili ya upanuzi wa Chuo cha Ualimu Ndala kama linavyoonekana ikiwa ni kazi
ya miezi sita chini ya Kampuni ya Skywards. Mradi huo ni wa bilioni 4.6
Serikali imeshamlipa milioni 600 na bado miezi 11 akabidhi majengo.
Wanachuo wa chou cha ualimu Ndala wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kumpokea
Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako(hayupo katika
picha) wakati wa ziara yake jana katika Chuo hicho.
No comments:
Post a Comment