Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 29, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimkambidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Dkt. Damas
Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia
Jaji Mstaafu Harold Nsekela akimuongoza Dkt. Damas Daniel Ndumbaro
kula kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 29, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kumuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 29, 2018

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika
wa Bunge la Jamhuri Mhe. Job Ndugai na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi katika picha ya pamoja baada ya Dkt. Damas Daniel
Ndumbaro kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na viongozi wa CCM Mkoa wa Ruvuma baada ya kumuapisha Dkt.
Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf
aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf
aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mshariki Dkt. Damas daniel Ndumbaro kwa Balozi wa Misri nchini
Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf aliyefika kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 29, 2018
No comments:
Post a Comment