Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi
Rais Dkt.John Magufuli akipiga makofi na wajumbe wengine kabla ya kuanza
kikao cha kamati kuu Maalum ya Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi,
Lumumba Jijini Dar es salaam.Septemba 29,2018.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi
Rais Dkt.John Magufuli pamoja na wajumbe wengine wakiwa wamesimama kwa
dakika moja ili kuwakumbuka na kuwaombea Majeruhi na waliopoteza maisha
katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea Septemba 20,2018 katika
ziwa Victoria kabla ya kuanza kikao cha kamati kuu Maalum ya
Halimashauri kuu ya chama cha mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es
salaam.Septemba 29,2018.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi
Rais Dkt.John Magufuli akiongoza kikao cha kamati kuu Maalum ya
Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es
salaam.Septemba 29,2018.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi
Rais Dkt.John Magufuli akizungumza jambo na Makamu mweyekiti wa CCm na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ally Mohammed
Shein mara baada ya kikao cha kamati kuu Maalum ya Halmashauri kuu ya
chama cha mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es salaam.Septemba 29,2018.

No comments:
Post a Comment