Wajumbe
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakipita mbele ya jengo la Utawala
la Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakiongozwa na Wahandisi wanaosimamia mradi
huo kutoka TBA na Chuo Kikuu Ardhi. Jengo hilo la Ofisi za NEC
linajengwa eneo la Njedengwa jijini Dodoma
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles Kaijage
(katikati) akikagua eneo linapojengwa ghala la kuhifadhia vifaa vya
uchaguzi akiwa ameambatana Wahandisi wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la
Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka eneo la Njedengwa leo jijini
Dodoma.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles Kaijage
(katikati) akizungumza na Wajumbe na Watendaji wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (kulia) mara baada ya kutembelea eneo la mradi la ujenzi wa
Ofisi za NEC jijini Dodoma. Wengine (kushoto) ni Mafundi na Wahandisi wa Mradi wa Ujenzi wa jengo hilo kutoka TBA na Chuo Kikuu Ardhi.
Msimamizi
wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Muhandisi Geofrey Mushanyela akitoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya mradi
wa ujenzi wa ofisi hizo kwa wajumbe na watendaji wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi waliotembelea mradi huo
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles Kaijage (katikati) akizungumza na baadhi ya Mafundi na Wahandisi
wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi
kutoka TBA na Chuo Kikuu Ardhi alipotembelea eneo la mradi wa ujenzi wa
Ofisi hizo eneo la Njedengwa leo jijini Dodoma. Wengine ni Wajumbe na
Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.(PICHA:TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI)
No comments:
Post a Comment