Mkurugenzi Mtendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Mhandisi Godfrey Sanga akifafanua jambo
mbele ya wageni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na
viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikali (TAGCO) walipomtembelea
ofisini kwake leo. Ujumbe huo upo katika ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa
Mikoa ya Kanda ya Kati inayohusisha Tabora, Singida na Dodoma ikiwa ni utekelezaji
wa maazimio ya Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikali kilichofanyika
mapema mwezi machi mwaka 2018. Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TAGCO,
Sarah Kibonde Msika na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bibi.
Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bibi. Zamaradi Kawawa, akimwelezea jambo
Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani , Omari Mtamike walipomtembelea
ofisini kwake leo. Ujumbe huo upo katika ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa
Mikoa ya Kanda ya Kati inayohusisha Tabora, Singida na Dodoma ikiwa ni utekelezaji
wa maazimio ya Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikali kilichofanyika
mapema mwezi machi mwaka 2018. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Sarah
Kibonde Msika.
Mkurugenzi Mtendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Mhandisi Godfrey Sanga (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja ujumbe kutoka Wizara ya Habaari, Utamadduni, Sanaa na
Michezo pamoja na viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikali (TAGCO) walipomtembelea
ofisini kwake leo. Ujumbe huo upo katika ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa
Mikoa ya Kanda ya Kati inayohusisha Tabora, Singida na Dodoma ikiwa ni utekelezaji
wa maazimio ya Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikali kilichofanyika
mapema mwezi machi mwaka 2018.
Mkurugenzi Mtendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Mhandisi Godfrey Sanga (kushoto) na Mweka
Hazina wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikali (TAGCO), Gerald Chami mara
baada ya kumaliza ziara ya ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Utamadduni, Sanaa na
Michezo pamoja na viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikali (TAGCO) leo. Ujumbe huo upo katika ziara ya kutembelea
Maafisa Habari wa Mikoa ya Kanda ya Kati inayohusisha Tabora, Singida na Dodoma
ikiwa ni utekelezaji wa maazimio ya Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikali
kilichofanyika mapema mwezi machi mwaka 2018.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa
Idara ya Habari –MAELEZO, Bibi. Zamaradi Kawawa. (Picha na: Idara ya Habari –MAELEZO, Singiida)
No comments:
Post a Comment