Pages

Sunday, July 22, 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Lee Nak- Yon baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam alasiri hii ya Julai 21, 2018. Mgeni huyo atakuwepo nchini kwa siku 3. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Lee Nak-Yon wakati mgeni huyo alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kamabarage Nyerere jijini Dar es salaam kwa Ziara ya siku tatu chini Julai 21, 2018.

No comments:

Post a Comment