Waziri
wa Nishati Mhe. Medard Kalemani (kulia), akikabidhi kifaa cha umeme
tayari(Ready board)
kwa Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Mhe. Angelina Mabula wakati wa ziara yake ya kuwasha umeme chini
ya Mradi wa Usambazaji Umeme Vijini REA Awamu ya Tatu. Mhe.
waziri alitoa jumla ya Ready board 20 kwa
ajili ya wakazi wa mtaa wa Igelegele, Kata ya Sangabuye wakati wa ziara yake
ya uzinduzi wa miradi ya REA III Mkoani, Mwanza.
Mhe. Waziri Kalemani akihutubia wananchi.

No comments:
Post a Comment