Pages

Monday, July 23, 2018

SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL

 Spika wa  Bunge Mhe. Job Ndugai  (katikati) akisalimiana na Ndg. David Mollel mume wa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe. Ruth Mollel alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Kushoto ni Mhe. Ruth Mollel.
  Spika wa  Bunge Mhe. Job Ndugai  ( wa pili kushoto) akimsikiliza Ndg. David Mollel (wa kwanza kulia) mume wa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe. Ruth Mollel alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) . Wengine katika picha ni Katibu wa Bunge Ndg Stephen Kagaigai (wa pili kulia) na Mhe Ruth Mollel (wa kwanza kushoto).
 Spika wa  Bunge Mhe. Job Ndugai  (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof Mohamed Janabi alipokutana naye hospitali hapo. Kulia ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
Spika wa  Bunge Mhe. Job Ndugai  (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof Mohamed Janabi alipokutana naye hospitali hapo.

No comments:

Post a Comment