Dar es Salaam,
27/7/2018: Kampuni ya simu ya Infinix iliweza kuandaa hafla fupi
iliyofanyika katika duka la Infinix Mlimani City. Na nia na madhumuni ya
hafla hiyo ni kutoa shukrani kwa mapokezi mazuri ya simu hiyo
yaliyooneshwa na wa Tanzania. Infinix NOTE 5 ilizinduliwa rasmi mnamo
tarehe 24/6/2018 nchini Dubai.
Hafla hiyo iliweza
kuhudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo Dj maarufu nchini Tanzania Bi
Aisha alimaarufu kama Dj sinyorita pamoja na fans mbalimbali wa kampuni
ya simu ya Infinix Mobility
Akiongea na vyombo vya
habari afisa wa mauzo wa kampuni ya Infinix Bwana Fredy Kadilana
alisema kwamba, “tunayo furaha ya kujumuika nanyi katika hafla hii fupi
ya kufikisha shukrani zetu kwenu kwa mapokezi mazuri ya Infinix NOTE 5”
Aliendelea, “Infinix
NOTE 5 ni simu ya kwanza kwa kampuni ya Infinix kutumia mfumo wa Android
One, kupitia Android One NOTE 5 imeweza kuwa simu rafiki kutokana aina
ya software inayohakikisha ulizi thabiti na kudhibiti viruses zinazoweza
safari kupitia ‘application’ mbalimbali”
Alimalizia kwa kutaja
sifa nyengine kama uwezo wa betry ya ujazo wa 4500mAh unaoweza kudumu na
chaji kwa siku tatu, aina ya kioo cha simu kinachokupa uwanja mpana wa
kusoma vitabu kutokana na wigo mpana wa kioo chenye uwiano wa 18:9 na
6.0 HD+.
Lakini pia mgeni
mwalikwa ambae ni balozi wa simu ya Infinix NOTE 5 Dj Sinyorita alisema,
“kwamba Infinix NOTE 5 sio simu ya wafanyakazi mahofisini bali ni kwa
Mtanzania yeyote anaependa simu yenye ufanisi mzuri, na hii ni kutokana
processor ya 2.0 Ghz octor core na ram ya Gb 3 vyenye kasi ya jabu na
uwezo mkubwa wa memory ya Gb 32 yenye uwezo wa kuifadhi ‘files’ nyingi
ikiwamo movies, picha na miziki”
Na alimaliza kwa
kusema kwa wale wapenzi wa kamera hii ni simu yako, Infinix NOTE 5 ina
megapixel 16mbele na megapixel 12 nyuma ikiambatana na flashi. Katika
hafla hiyo Dj sinyorita alipata nafasi ya kupiga picha na kucheza
michezo mbalimbali wa mashabiki walihudhuria katika hafla hiyo, huku
washindi wa michezo ya bahati na sibu walizawadiwa zawadi mbalimbali na
Dj sinyorita.
About Infinix
Infinix is a premium
smartphone brand from TRANSSION Holdings designed for young generations
who desire to live a smart lifestyle. Launched in 2013, Infinix is
committed to building cutting-edge technology and fashionably designed
dynamic mobile devices to create globally-focused intelligent life
experiences through a merging of fashion + technology. Though daily
interactions, these intuitive products become part of a lifestyle that
represents trend-setting and intelligent experiences for young people
around the world. Infinix currently promotes five product lines: ZERO,
NOTE, HOT, S, and SMART in a globally marketplace reaching countries in
Africa, Latin America, the Middle East, Southeast Asia and South Asia.
With the brand spirit of challenging the norms, Infinix smart devices
are designed specifically for young people who want to stand out, reach
out and in sync with the world.
For more information visit http://www.infinixmobility.com/tz
No comments:
Post a Comment