Pages

Saturday, June 30, 2018

WANANCHI WAZIDI KUMIMINIKA KUJIPATIA VING’AMUZI VYA DSTV KATIKA MAONESHO YA SABASABA


1
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania  Bw. Alfa Mria akimkabidhi King’amuzi mmoja wa wateja waliojinunuli Bw. Yahya Mgaya baada ya kununua katika maonesho ya 42 ya Biashara TANTRADE yanayoendelea kwa siku 16 katika viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo
Multichoice Tanzania inawakaribisha wananchi mbalimbali kutrembelea banda lake ili kupata huduma mbalimbali na kupata ving’amuzi kwa bei nafuu katisa hasa katika kipindi hiki cha Kombe la Dunia wenyewe wanakwambia “Kama Siyo DSTV Potezea”
2
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania  Bw. Alfa Mria akimkabidhi fulana kama zawadi mmoja wa wateja   Bw. Yahya Mgaya baada ya kununua King’amuzi.
3
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania  Bw. Alfa Mria akimkabidhi King’amuzi mmoja wa wateja waliojinunuli Bw. Eraldy Paul mara baada ya kununua king’auzi katika maonesho ya Sabasaba viwanja vya Kilwa jijini Dar es salaam.
4
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania  Bw. Alfa Mria akimkabidhi King’amuzi mmoja wa wateja waliojinunuli Bw. Eraldy Paul mpira kama zawadi mara baada ya kununua king;amuzi katika maonesho ya Sabasaba Viwanja vya Kilwa jjini Dar es salaam leo.
6
Picha mbalimbali zikionyesha wafanyakazi wa Kampuni ya Multichoice Tanzania wakiwa katika picha kwenye  banda la Kampuni hiyo katika Viwanja vya maonesho ya Sabasaba barabara ya Kiwal jijini Dar es salaam.
7 8 9 10

No comments:

Post a Comment