|
Mhe.
Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
akizungumza kwenye Mkutano wa 15 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la
Uchukuzi, Mawasiliano na Hali ya Hewa la
Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika jijini Arusha katika ukumbi wa
mikutano wa Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. |
Mhe. Prof.Mbarawa akizungumza katika mkutano huo amezisihi nchi
wananchama za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuongeza kasi ya kutekeleza
miradi inayopangwa katika ngazi ya Jumuiya kwa kuzingatia ukomo wa
tarehe.
|
Mhe. Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akisaini taarifa ya mkutano mara baada ya majadiliano |
|
Kutoka
kushoto Bibi. Zaina Ibrahim Mwalukuta Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege
Zanzibar (ZAA), Dkt. Leonard Chamuriho Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Maria Sassabo Katibu
Mkuu Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na Mhandisi Happiness Mgalula
Mkurugenzi wa barabara, Wizara ya Ujuenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta
ya Ujenzi wakifuatilia mkutano |
|
Meza kuu ikiongoza mjadala wakati wa mkutano |
|
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia mkutano |
|
Mhe. Prof. Mbarawa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akizungumza wakati wa mkutano
|
No comments:
Post a Comment