Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijiandaa kushiriki katika maandamano ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walioshiriki Maadhimisho ya sherehe ya siku ya Wafanyakazi Duniani kitaifa yaliyofanyika jana katika uwanja wa Samora mkoani Iringa.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijiandaa kushiriki katika maandamano ya
maadhimisho ya Sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kitaifa
yaliyofanyika jana katika uwanja wa Samora mkoani Iringa.
Picha na JKCI
No comments:
Post a Comment