Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara
ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Mboni Mgaza akifafanua jambo kuhusu masuala
ya kijinsia kwa wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kikao
cha kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module”
kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili
dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea
mjini Morogoro leo Mei 03,2018.
Mwezeshaji wa Kikao Bw.Clarence
Kipobota akitoa mwelekeo wa uaandaaji wa kitini cha kufundishia masuala
ya Jinsia “Gender Module” katika mchakato wa kuandaa kitini hicho kwa
ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili
dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 katika kikao kati
ya Serikali na wadau kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03,2018 .
Mwakilishi wa AMREF Health Africa
Bi. Sophia Kimaro akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa kitini maalaum cha
masuala ya Jinsia “Gender Module” katika kikao cha wataalam na wadau wa
maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini hicho kwa ajili ya utekelezaji
wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na
Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei
03,2018.
Mwakilishi wa TGNP Mtandao Bi.
Agnes Lukanga akitoa maoni kuhusu kuzingatia masuala ya unyanyasaji kwa
jinsi zote katika kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia
katika kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module”
kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili
dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea
mjini Morogoro leo Mei 03,2018.
Mchumi kutoka Idara ya Sera na
Mipango, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.
Seto Ojwando akitoa maoni kuhusu uzingatiwa wa masuala ya Kisera katika
uaandaji wa kitini maalum cha masuala ya Jinsia “Gender Module” katika
kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini
hicho kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza
Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22
kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03,2018.
Baadhi ya wadau na wataalamu wa
masuala ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na watoto wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa
zikitolewa katika kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia
katika kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module”
kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili
dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea
mjini Morogoro leo Mei 03, 2018.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW
No comments:
Post a Comment