Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe akizungumza na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Unesco ambaye
pia ni Mshauri wa Masuala ya Mawasiliano Kanda ya Afrika Mashariki
ofisi ya Unesco Nairobi, Jaco Du Toit (kulia) mara baada ya kuwasili
kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma. Wengine ni
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN),
Salome Kitomari (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga
(wa pili kulia) pamoja na Afisa Utawala Msaidizi na Itifaki wa ofisi za
Unesco Dar es Salaam, Rahma Islem (kushoto).
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe akisalimiana na Naibu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), Charles
Stuart mara baada ya kuwasili kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho
ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya
Morena jijini Dodoma. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Taasisi ya
Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Salome Kitomari (wa
kwanza kushoto), Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Habari Unesco
nchini, Nancy Kaizilege ( wa tatu kushoto), Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi
ya Friedrich Ebert Stiftung Tanzania, Andreas (wa pili kulia) pamoja na
Meneja Programu wa Tanzania Media Fund (TMF), Razia Mwawanga (kulia)
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe akisalimiana na Meneja Programu wa Tanzania Media Fund (TMF),
Razia Mwawanga mara baada ya kuwasili kwenye kilele cha sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika
Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe akipata maelezo kutoka kwa Afisa Programu wa Baraza la Habari
Tanzania (MCT), Paul Mallimbo (katikati) kuhusu ripoti ya uvamizi wa
kituo cha habari cha CLOUDS wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho
kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison
Mwakyembe akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa Tehama na Programu za
Vyombo vya Habari wa TMF, Baraka Kiranga (kushoto) kuhusu shughuli
mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo wakati alipotembelea mabanda ya
maonyesho kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa
Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Wengine ni Mwandishi wa kujitegemea Adelina Johnbosco (katikati) pamoja
na Mtayarishaji bora wa makala na vipindi vya TV kuhusu utalii na
uhifadhi, Anwary Msechu (kulia).
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe
akimpongeza Mtayarishaji bora wa makala na vipindi vya TV kuhusu Utalii
na Uhifadhi, Anwary Msechu ambaye alishinda tuzo mbili za Sinema Zetu
International Film Festival (SZIFF) katika kipengele cha mwandaaji bora
wa makala na makala bora iliyohusu malipo duni ya kwa wapagazi Mlima
Kilimanjaro wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho kwenye kilele cha
sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mratibu
wa Miradi wa Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung, Amon Petro akitoa
maelezo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison
Mwakyembe kuhusu malengo ya taasisi hiyo ambayo ni Kukuza Demokrasia,
Utawala Bora na Haki Jamii ambapo alieleza ili kufikia malengo hayo
wanafanyakazi na asasi mbalimbali za kiraia, vyama vya siasa na vyama
vya wafanyakazi pamoja na waandishi wa habari wakati alipotembelea
mabanda ya maonyesho kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya
Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini
Dodoma.
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za
Binadamu nchini (THRDC), Onesmo Ole Ngurumwa, Mwandishi wa kujitegemea
Adelina Johnbosco, Mdau wa tasnia ya Habari na Afisa Mawasiliano wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Innocent Mungy pamoja na
Mtayarishaji bora wa makala na vipindi vya TV kuhusu Utalii na Uhifadhi,
Anwary Msechu ambaye alishinda tuzo mbili za Sinema Zetu International
Film Festival (SZIFF) katika kipengele cha mwandaaji bora wa makala na
makala bora iliyohusu malipo duni ya kwa wapagazi Mlima Kilimanjaro
wakiwa kwenye picha ya pamoja banda la maonyesho la TMF wakati wa kilele
cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mshehereshaji
wa kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Habari, Neville Meena akitambulisha meza kuu katika maadhimisho hayo
yaliyofanyika kwenye Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga, Mwakilishi wa
Mkurugenzi Mkazi wa Unesco ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya
Mawasiliano Kanda ya Afrika Mashariki ofisi ya Unesco Nairobi, Jaco Du
Toit, Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika
(MISA-TAN), Salome Kitomari, Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe pamoja na Naibu Balozi wa Umoja
wa Ulaya (EU), Charles Stuart wakati wa kilele cha sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika
Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe akizungumza kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku
ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena
jijini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Salome
Kitomari akitoa salamu za MISA-TAN wakati wa kilele cha sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika
Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkazi wa Unesco ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya
Mawasiliano Kanda ya Afrika Mashariki ofisi ya Unesco Nairobi, Jaco Du
Toit, akitoa salamu za Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la
Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Audrey Azoulay wakati wa kilele
cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Afisa Programu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Paul Mallimbo akitoa
salamu za Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Kajubi Mukajanga wakati wa
kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Katibu
wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Henry
Muhanika akitoa salamu kwa niaba ya Mwenyekiti wa MOAT, Dk. Reginald
Mengi wakati wa kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa
Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Wakfu wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Fausta Musokwa
akitoa salamu za TMF wakati wa kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku
ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena
jijini Dodoma.
Mkurugenzi
Mkazi wa Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung, Andreas Quasten
akizungumza wakati wa kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru
wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini
Dodoma.
Kaimu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile akitoa salamu
za TEF wakati wa kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa
Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari nchini (UTPC),
Jane Mihanji akitoa salamu za UTPC wakati wa kilele cha sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika
Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mwakilishi
waandishi wa habari wakongwe (Veterans), Kiondo Mshana akitoa salamu za
Ma-Veterans ambapo alisema amani tuliyonayo inadumu kutokana na weledi
wa uandishi wa habari nchini wakati wa kilele cha sherehe za maadhimisho
ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya
Morena jijini Dodoma.
Mkurugenzi
Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga akitoa salamu za taasisi hiyo wakati wa
kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Naibu
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), Charles Stuart akitoa salamu za Umoja
huo wakati wa kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa
Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkazi wa Unesco ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya
Mawasiliano Kanda ya Afrika Mashariki ofisi ya Unesco Nairobi, Jaco Du
Toit akichambua ripoti inayohusu uhuru wa kujieleza na maendeleo ya
vyombo vya habari kabla ya kuikabidhi kwa Mgeni rasmi Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe wakati wa kilele cha
sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkazi wa Unesco ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya
Mawasiliano Kanda ya Afrika Mashariki ofisi ya Unesco Nairobi, Jaco Du
Toit akimkabidhi Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Dk Harrison Mwakyembe nakala ya ripoti inayohusu uhuru wa
kujieleza na maendeleo ya vyombo vya habari wakati wa kilele cha sherehe
za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika
katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma. Katikati anayeshuhudia tukio hilo
ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika
(MISA-TAN), Salome Kitomari.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison
Mwakyembe akizundua Ripoti ya tathimini ya Hali ya Habari Tanzania 2017 –
So This is Democracy? Iliyoandaliwa na MISA-TAN wakati wa kilele cha
sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma. Wanaoshuhudia tukio
hilo Kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa
Afrika (MISA-TAN), Salome Kitomari, Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya
Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Gasirigwa Sengiyumva (wa
pili kushoto) pamoja na Afisa Mawasiliano Msaidizi wa MISA-TAN, Fredy
Njeje (kushoto aliyeketi).
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison
Mwakyembe akisalimiana na Mtaalamu wa Masuala ya Vyombo vya Habari na
Mkufunzi wa Kujitegemea, Rose Haji Mwalimu wakati wa kilele cha sherehe
za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika
katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mkuu
wa wilaya ya Kongwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Deogratius
Ndejembi akizungumza na washiriki wakati akifunga kilele cha sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika
Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison
Mwakyembe na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa
habari wakongwe (Veterans) mara baada ya kuhutubia kilele cha sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika
Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison
Mwakyembe na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na Wahariri,
Mameneja wa Redio za Jamii na Waandishi wa habari mara baada ya
kuhutubia kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison
Mwakyembe na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki, wadau
wa habari na wanafunzi wa Dodoma College of Jorunalism mara baada ya
kuhutubia kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari yaliyofanyika katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Na Mwandishi wetu
VYOMBO
vya habari nchini vimekumbushwa kwamba uhuru wa habari sio kuiangalia
tu serikali, bali kujiangalia wenyewe na pia vyombo vyao vya habari.
Kauli
hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk.
Harrison Mwakyembe wakati akihutubia hadhira ya waandishi wa habari
katika kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Habari duniani, sherehe zilizofanyika kitaifa katika hoteli ya Morena
Jijini Dodoma.
Katika
hotuba yake baada ya kusikiliza hoja kadha kutoka taasisi mbalimbali
kuhusiana na uhuru wa vyombo vya habari nchini na hisia kwamba
vinaminywa Waziri huyo alisema kwamba ipo haja ya tasnia kujiangalia
yenyewe kama inatenda haki na weledi kwa taifa hili.
“Kalamu ya
No comments:
Post a Comment