Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Ilula mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Ruaha mbuyuni mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani
Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Ruaha darajani mara bada ya kuingia mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Mikumi wakati akiueleka Kidatu mkoani Morogoro.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment