Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipata
maelezo juu ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa
kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo leo Mei 2, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi wengine akifunua pazia kuashiria uiwekaji wa jiwe la msingi la
ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya
Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah alipowasili kuweka jiwe la la msingi
la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambukushwa kwa wabunge wa mkoa
wa Iringa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la
msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei
2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mbunge wa Kilolo
Mhe. Venance Mwamoto na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji
wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo
mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi pamojanna
wanafunzi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi
wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Ipogolo
alipokuwa anatoka katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi
la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2,
2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa
alipotembelea leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zwadi kutoa kwa Rasi wa
Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea
leo Mei 2, 2018. Kulia ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Profesa Bonaventure Rutinwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wanafunzi na wahadhiri
wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa
alipotembelea leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa
alipotembelea leo Mei 2, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
ujenzi wa ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani
Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment