Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakilakiwa kwa furaha na Paroko Msaidizi Venance Tegete walipojumuika na
waumini wengine katika Maadhimisho ya Misa ya Sikukuu ya Pasaka katika
kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 1,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
na waumini wengine wakisikiliza kwa makini mahubiri ya Paroko Msaidizi
Venance Tegete katika Maadhimisho ya Misa ya Ibada ya sikukuu ya Pasaka
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Jumapili
Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakitoa sadaka katika Maadhimisho ya Misa ya Ibada ya sikukuu ya Pasaka
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Jumapili
Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini wenzie
baada ya Maadhimisho ya Misa Ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
na waumini wengine wakifurahia jambo wakati wa mahubiri ya Paroko
Msaidizi Venance Tegete katika Maadhimisho ya Misa ya Ibada ya sikukuu
ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo
Jumapili Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakiagana na waumini wengine baada ya Maadhimisho ya Misa Ibada ya
sikukuu ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na waumini wenzie
baada ya Maadhimisho ya Misa ya Ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa
la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Picha na IKULU
…………….
No comments:
Post a Comment