Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akiingia bungeni Mjini Dodoma Aprili 3, 2018 .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Bw. Pang Xin
Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia
ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Makampuni ya Star Times Group,
Pang Xin Xing (watatu kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao,
ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.Kulia ni
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Star Media Tanzania Limited,Wang Xiao
Bo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Makampuni ya Star Times
Group,Zhang Ye na kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni ya Star Media
Tanzania Limited, Juma Suluhu Sharobaro.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment