Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso akizungumza na Mbunge wa
Busega, Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 3,
2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa
Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Maulid Mtulia, (kushoto kwake) na ujumbe
wa wapenzi na mashabiki wa CCM kutoka Kinondoni waliomsindikiza mbunge
huyo kutoka Dar es salam hadi bungeni Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa Siha kwa
tiketi ya CCM, Godwin Aloyce Mollel, (kushoto kwake) na ujumbe wa
wapenzi na mashabiki wa CCM kutoka Siha waliomsindikiza mbunge huyo
kutoka mkoani Kilimanjaro hadi bungeni Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment