Pages

Friday, March 2, 2018

TANGA UWASA ,JUIN COMPAY LIMITED WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO


 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambao
utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambao utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia
 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambao utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia
 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700
wakibaliashana hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin CompanyLimited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700
wakionyesha hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Aram Phares akizungumza wakati wa utiliaji saini wa makubaliano hayo
kulia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi
 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza wakati wa utiliaji
saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa maji wilayani Lushoto
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa
Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares
Mkandarasi Justice Kato  kutoka Kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto ambao utagharimu milioni 700 akizungumza katika wa utiliaji saini wa makubaliano ya mkataba halfa iliyofanyika mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga
(Tanga Uwasa)
 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati akiwa kwenye picha ya
pamoja na watumishi wa mamlaka ya maji safi na usafiri wa mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo
Mhandisi Aram Phares kushoto ni Mkandarasi wa ambaye atatekeleza Mradi
wa Maji wilayani Lushoto kutoka kampuni ya Juin Company Limited
Civili&Building Contractors Justice Kato

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi kulia akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji
Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram
Phares


No comments:

Post a Comment